Elizabeth Michael a.k.a Lulu hivi majuz amejikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanaume kumgombania na kutaka kucheza nae mziki huko mwanza alipokuwa katika kampeni ya kutafuta vipaji ya kampuni flani ya usambazaji,
Lulu alikumbwa na mkasa huo baada ya kuwa wasanii wote waliokuja walikuwa wanatambulishwa alianza msanii wa orijino komedi bwana joti na kufuatiwa na Richie na kisha kupanda Steve nyerere Alafu Lulu akamalizia kwa kufunga pazia ..
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
TAZAMA MENGI HAPA..>http://www.blaiton.com/show-ya-paradise-inayoendeshwa-na-actress-irene-uwoya-ime-anza-hatua-zake-c
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.