MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Jumapili, 13 Aprili 2014

KIKWETE NA MKE WAKE KUONYESHA KUCHEZA BAO NA UPENDO WAOO. SOMA.





Raha ya ndoa ni mapenzi ya dhati ushirikiano wa ndani na nje ya nyumba,furaha ya mapenzi ni kuyaonyesha dhahiri machoni mwa watu.Pichani ni Rais Jakaya Kikwete akiwa na mkewe First Lady nchini Tanzania mama Salma Kikwete wakiwaonyesha watu jinsi ya bao la kete linavyochezwa,hapo ilikuwa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam hivi karibuni. penda mke wako muonyeshe  na jirani  zenu  nawengine watajifunza kupendana........ PATA MENGI ZAIDI HAPA..>http://www.blaiton.com/mambo-muhimu-yanayozidisha-upendo-kwa-wapenzi-ni-hay

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.