Kutumwa wanajeshi wa Burundi Jamhuri ya Afrika ya Kati
Serikali ya Burundi imeamua kutuma kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ikiwa ni kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa nchi za Afrika na Ufaransa uliofanyika mjini Paris hivi karibuni.
Mwandishi wa Radio Tehran mjini Bujumbura ametutayarishia ripoti ifuatayo...