Mjadala kuhusu marekebisho ya katiba Burundi
Mjadala mkali umezuka nchini Burundi kuhusu suala la kufanyiwa marekebisho katiba ya nchi hiyo. Upinzani na makundi ya kiraia yamesisitiza kuwa, iwapo kuna haja ya kurekebishwa katiba ya nchi, basi wadau wote wanapaswa kushirikishwa.
Mwandishi wa Radio Tehran mjini Bujumbura na taarifa zaidi
Sauti na Video
