Mr. Nice apata 'Shavu' la kufanya filamu nchni Denmark chini ya kampuni ya VAD production
Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa
Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa
blaiton news
SHUKA SHINI KUTOA MAONI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.