Sunday, September 9, 2012
JAMAA APOTEZA MAISHA KWA AJILI YA MAPENZI
Unaposikia neno MAPENZI kaa ukijua kwamba hili neno lina uzito mkubwa sana.Kwanza niombe msamaha kwa picha ambayo wengine watapata wasiwasi kidogo ndani ya nafsi zao...Jamaa alipoamua kupoteza maisha yake kwa ajili ya mwanamke aliyeteka hisia zake kimapenzi.Sina la kuongeza kwani mapenzi ni neno kubwa sana na kama hujui ipo siku utajuzwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.