MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Jumatatu, 20 Januari 2014

WASTARA: MTAMUONA MPENZI WAKE { SOON}...

Na Brighton Masalu
BAADA ya watu wengi kuwa na hamu ya kutaka kumjua ‘mrithi’ wa marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kwa mwigizaji Wastara Juma ‘Wastara’, mwenyewe ameibuka na kusema mashabiki wake watamuona hivi karibuni.
Wastara Juma ‘Wastara’.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Wastara alisema hayuko tayari kuona watu wakimsingizia kutoka na wanaume tofauti akiwemo Bon Bin Salim ambaye ni muigizaji mwenzake hivyo atamuweka wazi ‘mtu’ wake.
“Nachukia sana kuona watu wanafuatilia maisha yangu binafsi badala ya kazi, nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu mapenzi, iwe ni Bond wanayemsema au mwingine,” alisema Wastara.          



SHUKA CHINO KUTOA  MAONI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.