MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Jumanne, 21 Januari 2014

Kiswahili chahimizwa Uganda

 28 Oktoba, 2013 - Saa 14:01 GMT

Media Player

Baraza la mawaziri nchini Uganda limependekeza kuwa Kiswahili iwe lugha rasmi ya pili nchini Uganda baada ya kingereza.

Lugha hurahisisha mawasiliano baina ya jamii. Huenda sifa hii ndio iliyolichochea Baraza la mawaziri nchini Uganda ambao wamependekeza kuwa Kiswahili iwe lugha rasmi ya pili nchini Uganda baada ya kingereza.
Pendekezo hilo limetolewa kwa azma ya kuharakisha mawasiliano ya wananchi wa Uganda na wenzao wa jumuia ya Afrika mashariki.

Hata hivyo baadhi ya wadau wa lugha ya Kiswahili wameikosoa serikali ya Uganda juu ya pendekezo hilo kama anavyosimulia mwandishi wetu Issaac Mumena:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.