![]() |
Kala akiwa na Tuzo zake |
Kwa mwaka huu hakika kuna matukio mengi sana ambayo yalituumiza mioyo na kila mmoja akiwa ameguswa kivyake nafsini mwake na kwa Upande wa Kala ndo hivyo ila kiupande wa Mafanikio Kalla amewashukuru mafans wake kwa kumfanya ashinde tuzo tatu za kilimanjaro Tanzania Music awards na kuwaahidi Fans Wake kuzidi kuwapa vitu vizuri kwani amejipanga vyema kwa mwaka 2014.
MSIKILIZE KALA AKIFUNGUKA KWA KUELEZEA MAFANIKIO YAKE KWA MWAKA 2013 NA MALENGO YAKE 2014 hapa chini.
You might also like:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.