
Wanaharakati ya safu HII waliingia Mtaani ILI Rangi kupiga stori Rangi watu wawili watatu ambao majina Yao yanajulikana to Sana katika Jamii Yetu. Kikubwa ilichokuwa inataka iwaletee wasomaji Ni kauli za mastaa hao ambao to nyakati tofauti waliulizwa kwamba ÔWewe KAMA Mtanzania Una maoni Gani kuhusu mechi kati ya Stars Rangi Msumbiji?.Haya ndiyo maoni Yao:
ujaini: Khadija Shabani (K-Sher-(PICHANI Juu)
Maoni: Japo Siko Karibu Sana Rangi Mambo ya Michezo, napenda kuwaambia Watanzania wenzangu kwamba, Sisi KAMA wazawa tuwe Kitu kimoja katika kushangilia Rangi kuhakikisha Stars inafanikiwa kuishinda Msumbiji Rangi kuendelea Rangi Michezo mingine huko Mbele.
Kwa Sababu Ushindi Huo Ni Sifa to Taifa zima, siyo MTU Mmoja Niko PAMOJA Rangi timia Yetu. ujaini: Said Fella (Mkubwa) Maoni: Nikiwa KAMA Mtanzania, wananchi tuwe wamoja, tuombe Mungu apokee Dua zetu ILI Vijana waende Ghana, Kwani Kwenda huko nai kufungua Soko jipya la mpira Rangi kumuenzi Rais mstaafu, Mkapa Rangi Uwanja wetu Mpya, Kumpa Moyo Rais Kikwete to kuwapa Moyo wachezaji Mpaka hapo walipo Sasa. Vilevile wachezaji wakaze Buti, wasituangushe Kwani wakicheza Vizuri Ni Maisha mazuri Kwao Rangi Taifa kulitangaza Rangi kushangilia. ujaini: Abdul Sykes (Dully Sykes) Maoni: Mi Sina cha Zaidi cha kuongelea, ILA timia Yetu naiamini, nategemea Ushindi Rangi SI Kitu kingine. ujaini: Gervas Kasiga (Chuma) Maoni: Kikubwa Watanzania Wote kuwa Rangi uzalendo kwenye mechi HII, tufute itikadi zetu za kisiasa, kiimani Rangi kitimu Ushindi Kwetu. uwe Ni wa Lazima ILI walau tuweze kujiliwaza Rangi ugumu wa Maisha unaotuandama, tukumbuke Ushindi wa Stars to namna Moja utakuwa umeongeza Nafasi za ajira to Watanzania wengi, hususasi Wale Wote wajasiriamali watakaojiusisha Rangi mauzo ya jezi za Stars, Bahati Nasibu, documentary, naimani kubwa Rangi wachezaji to Sababu serikali imeshawajenga, hivyo Ari Mpya, nguvu Mpya Rangi Kasi Mpya wao tayari wanayo Tunachohitaji Kwao Ni Ushindi.. ujaini: Selemani Msindi Afande Sele (PICHANI Juu)Maoni :. Mimi naamini timia Iko Bomba kutokana Rangi mabadiliko makubwa wanayoonesha uwanjani, ukilinganisha Rangi Zamani, halafu uzalendo wa Rais JK katika timia ya pia Ni nusu ya kushinda Ila kocha Bado anaweza kuongeza wachezaji KAMA Machupa, Pawasa, Mrisho Ngasa kuipa nguvu ya Ushindi wa uhakika to kuzingatia Matokeo Mabovu tuliyoyapata katika ziara ya Denmark ingawa tunacheza Rangi timia za India KAMA mbovu Ghana walivyocheza Rangi Brazil. Watu wanahitaji Furaha kupitia to timia hiyo, kocha asipuuze Mawazo ya wataalam wetu, Wazalendo Rangi makocha wa Zamani




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.