Najua baada ya taarifa kutoka kila shabiki au anaemfatilia Jokate alipata hamu ya kutazama hii filamu mpya ambayo JB amemshirikisha Jokate, ni time yako sasa hivi kuitazama Trailer ya movie yenyewe hapa chini.
Kwenye hii trailer wako waigizaji wengi wakali akiwemo Irene Uwoya na JB mwenyewe lakini Jokate amekua akisubiriwa kwa hamu kwa sababu ndio mpyampya kwenye uigizaji.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.