Raia wa Somalia waishio Ughaibuni waanza kurejea nyumbani!
post......blaiton newsWakati ujenzi wa taifa la Somalia ukishika kasi , raia wazawa nchini humo wameamua kurejea nyumbani wakati huu ambapo usalama unatajwa kuimarika katika taifa hilo ambalo limetatizika kwa machafuko kwa muda mrefu sasa.
Nini kinachowafanya raia hao waliokuw aughaibuni kurejea makwao? Ungana an Joseph Msami katika ripoti inayofafanua zaidi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.