viongozi wa BANKOOK Club wapo hapa nchini Burundi ili kumutizama gisi anavyo endelea kwenye ligi kuu ya Primus ligi. amekwisha cheza mechi moja na akafanya vizuri sana na amepangwa kucheza mechi kazaa tena ngumu kama dhidi ya Inter Star na Flambeau. makuabaliano tayari na klabu yake mpya ya Thailand, akimaliza ligi kuu tu vizuri ataweza kupata fursa nyingine ya kucheza soka ya kulipa na kuzidi kutangaza bendera ya taifa ugenini.
siku ya 33 ya liga,mchezaji wakimataifa ya Algeria,Yacine Brahimi alifunga bao la kwanza la Granada CF dhidi ya Barcelona katika dakika ya 16 ya mchezo.
kwa kupoteza pointi izo 3 klabu ya Barcelona hipo kwenye hali ngumu sana, kwanza kwakufungiwa na FIFA,kutosajili kwenye misimu 2 za mbele na uku wachezaji wao kama 4 watamaliza mkataba wao na inapelekeya klabu ya Bacelona aina rusa ya kuwaongeza mkuataba kwajili inafungiwa na wachezaji watakuwa huru.
kocha wa barcelona amepeleka malalamiko yake kwa viongozi wa klabu ili wasajili wachezaji mahiri sio kutegemea shule yao ya soka, kwamaana barcelona iko na uzowefu wakukuza vijana wao na wakiwiva tu wanawatia kwenye kundi A, pali yakutafuta wachezai wazuri ulimwenguni.
mshambuliaji Diego Milito, huu ndio mwaka wake wa mwisho kwenye klabu ya Inter Milan, na kwasasa inasemekana ataamia kwenye klabu yake ya zamani ya Racing.
MENGI ZAIDI HAPA...Blaiton | Welcome to Blaiton News
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.