HAPPY FAMBA NDANI OGOPA DEEJAY INCHINI KENYA
msani huo anatambulika kwa jina la Happy Famba ukipenda unaweza kumuita Mr Happy
imekuwa Saturday hapo Nyanza lac pamekuwa concert wakishirikiana na Channy Queen.

Channy Queen & Mr Happy.

Palma Beach NYANZA LAC
Chany Queen
akatujulisha ya kwamba anampango wakwenda Nairobi ku record one single ndani ya Ogopa Deejay
na nyimbo hio tayari imesha pewa jina : happy Birthday
stay tuned tutawapa habari zone about safari ya Mr happy
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.