MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Jumatatu, 20 Januari 2014

UNAAMBIWA MSANI JAGUAR KUTOKA KENYA ALIKUJA TANZANIA NA NDEGE YAKE BINAFUSI, ICHEKI HAPA...



Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi.

Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya “Kioo”.

Unaambiwa kutoka Kenya kuja Tanzania msanii huyu hakupanda ndege za kawaida bali alikuja na ndege yake binafsi ambayo imeandikwa Air Jaguar.



SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.