MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Jumanne, 28 Januari 2014

MHM HII KALI YA MWAKA !!!!..."MAMTEIWA" JUMBA LADHAHABU AWAKANA WASANII WENZAKE" WOLPER" NA "WEMA" NA KUDAI KUWA HAWAFAHAMU KABISA


 
Cecilia Sospeter ‘Mamtei’. 

MUIGIZAJI wa kike aliyetamba katika Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ ametoa kali ya aina yake baada ya kusema hawajui wasanii kutoka Bongo Movie, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper.Muigizaji huyo aliyejifungua mtoto wake wa pili wiki kadhaa zilizopita, aliyasema hayo juzikati alipokuwa akihojiwa na paparazi wetu nyumbani kwake Kinondoni, jijini Dar na alipogusiwa kuhusu uwezo wa Wolper na Wema, alitiririka:
Jack Wolper.
“Wolper ndiyo nani na huyo Wema ndiyo nani? Wala siwajui kabisa na ndiyo kwanza nawasikia kutoka kwako. Bongo Movie imevamiwa kwa sasa na ndiyo maana wengi wanaoonekana ni wafanyabiashara na si waigizaji,” alisema Mamtei.
Wema Sepetu.
 post... blaiton news
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.