Katika kile kinachoaminika kuwa ndio mipango iliopo kwa sasa, msanii wa Burundi anekipiga huko nchini Afrika Kusini Chris Dizzo, ametagaza sera zake kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook na Twitter, huku akiweka wazi kuhusu mipango ya kuuza album yake. bila kurekebisha lolote Chris Dizzo aliandika hivi:
‘ Information kwa NDUGU na masapotazi wa mziki wangu, I konw mulokuwa mukisubiria nini itafata kabla yakutoka kORA..Actually ivi ndo itavio kuwa kama mungu akipenda, mwezi 8 ntakuwa tayari kuiachia NEW video ( NIMEDATA ft Chanelle ) And from there, My Album ya nyimbo 8 na video zake 6, itakuwa ndo imekamilika ku take over the land…ILA YOTE AYO KAMA MUNGU AKIPENDA…i AMMEN
Haya kila la kheri na mafaaniko mema katika harakati

Haya kila la kheri na mafaaniko mema katika harakati
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.