JOHARI NA CHUCHU HANS WANAKUNG'UTANA MANGUMI MCHANA KWEUPEEE, KISA PENZI LA RAY!!
Hansi wafumaniana nyumbani kwa msanii mkubwa Ray
sinza dar nchini Tanzania na Johari kumtwanga sana
Chuchu kwanini anakua na mahusiano ya kimapenzi na
mchumba wake basi johari alimjeruhi sana baada ya hapo
msanii tishio la jiji akawa amerudi ndio akaokoa ugomvi huo
lakini chuchu kaumia.
shuka chini kutoa maoni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.