MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Jumatatu, 13 Januari 2014

HIZI NDO FILMU ZA BONGO PAMOJA NA COMEDY AMBAZO ZIPO SOKONI KWA SASA

Hizi Ndo Filamu Za Bongo Pamoja Na Comedy Ambazo Zipo Sokoni Kwa Sasa

Ukweli bila uongo haupo, ukweli upo kwasababu kuna uongo
Casts: Jacqueline Wolper, Izzo Business, Abdul-Karim Ally, Quick Rocka
Story Leah Richard, Script Leah Richard, Producer Jacqueline Wolper, Ex-producer Jacqueline Wolper, Director Leah Richard







Ni filamu inayohusu usaliti wa mapenzi au tamaa ya maisha kwa kumgeuka mume na kuwa na boss kwa sababu ya kutaka maisha mazuri
Casts: Ahmed Masinde, Jamila Hassan, Bakari Makuka, Salma Salmin, Issa Mussa
Splash presents “My Boss” Producer Bakari Makuka, Director Elius Sauli, Executive Producer Bakari Makuka, Editor Khamisi Msekwa, Written by Bakari Makuka, Camera Ally Juma, Sound Sound & Script H.R Likoko, Lights Ramadhani Juma, Location Philipo Mbena




Sio watu wote ni watu…wengine ni viatu. Fikiri kabla hujamkaribisha katika maisha yako kwani utajuta na yeye kubaki na furaha moyoni









Casts: Mapembe, Asha Boko, Shangazi, Tozz wa Mbagala & Machejo
IMK Entertainment present Ngekewa, Starring Mapembe, Asha Boko, Shangazi, Tozz wa Mbagala & Machej







Wazazi wanatakiwa kuwa makini na ndoto zao… sio kutoka nje ya ndoa zao…, kijana Haisam anajikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kutembea na mdogo wake bila ya kujua…, fuatilia kisa hiki
Cast: Zuberi Mohammedi, Vaileth Matelu,Denisi David, Vant Mbinda
Story by Uzale Alufa, script Suleish Malah, edited by Saleish Malah, graphics by Luta Mvungi, sound & light Abou Omary, Producer Zuberi Mohammedi, Directed by Suleish Mula



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.