MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Jumatatu, 13 Januari 2014

USHAURI. TUMEACHANA ILA BADO HATAKI KUNIONA NA MWANAUME MWINGINE..


https://www.facebook.com/theclicktz 
Toka nimeachana na huyu mwanaume ni miezi sita sasa lakini bado ana wivu uliopitiliza, kila akisikia niko na mwanume anampigia simu na kumtukana sijui hata namba anapata wapi, yani ananikera kweli wengine unakuta ni marafiki zangu tu ila anawatukana na hata kuwatishia maisha, sijui hata nimfanyaje..?? Naombeni ushauri wadau..!!



TOA MAONI HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.