MENYEKANISHA IBIKORWA VYAWE HANO

Alhamisi, 23 Januari 2014


Picha moja ni sawa na maneno elfu moja.Hiyo hapo ni picha ya “Babu”.Kama hujamsikia Babu wa Loliondo,amka osha uso,tizama. Pichani anaonekana kuwa amezama katika lindi la mawazo.Najiuliza na kukuuliza wewe,unadhani anawaza nini?
Kisha,bila shaka umeshasikia mahojiano kadhaa baina ya Babu na vyombo mbalimbali vya habari.Lakini bila shaka kuna maswali ambayo wanahabari bado hawajauliza au bado hujaridhika na majibu yake.Ikitokea Reporter wetu akafika kwa Babu au ungepata nafasi ya kuonana naye ungependa kumuuliza swali gani?
Kabla hujaweka swali lako,pengine ungefaidika kwa kusikiliza mahojiano ya Mike Baruti,Mtangazaji wa East African Radio na Babu wa Loliondo.Bonyeza player
 na Audio kwa hisani ya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.