Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu. Proin group of company ilifanya pati ya shoka ya kuukaribisha mwaka mpya na wadau wake ndani ya mjengo wa Tranic plaza. Endelea kuangalia picha


pendeza sana

Aunty Ezekiel

Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Infinity Communication Stella Sakia

Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere akiongea na wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi waliohudhuria sherehe hiyo..... kivazi

Wolper katika picha ya pamoja na Meneja masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited

Baadhi ya wafanyakazi kutoka Proin Promotions Limited kampuni moja wapo iliyopo chini ya Proin Group of companies

Raha ya sherehe ni Msosi na Mziki.............

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.